Wanabaki

Wanabaki

Asubuhi kumekucha kwenda kutafuta pilikapilika nyingi Kila siku naanguka Sitochoka kumwomba huyu anae nipa kwasababu kanileta kambii hii Africa Japo Kuna mambo mengi yanayoniumiza kichwa I never fall ata mnikate hizi kucha. I don't care siwaamini wauza bucha maana hao ndo mafala wauza wauza mapusha I know fill god bless akizishusha nikizipata nitafurahi na Wana wote wa ARUSHA Nitafurahi na Wana wote wa Arushaaa Chorus Kwenye beat me nabaki tu nachekacheka haha ninachekacheka Hao ma haters street wanabwekabweka haha wanabwekabweka kwenye beat me nabaki tu nachekacheka haha ninachekacheka Hao ma haters street wanabwekabweka haha wanabwekabweka Masela wengi tupo mtaani tuna hustle tunakula Makaya tunamwaga sana jasho Hustle hustle tupo macho tunaridhika na hichi kidogo tupatacho Japo Sina utaratibu wa kusahau nilipotoka Enzi nakula andazi chafu la kuokota It's so bad japo kuna people wanafoka Mbona huyu supernova anajikuta kaokoka na jana tulimuona bar matusi anaropoka Me nabaki tu nacheka kwasababu najua njia niliotoka sijachoka Maana kwenye maisha hakuna mkubwa na mdogo vile kwenye hustle wote tunageuka mbogo Mdogomdogo I gar do than better better Na god akitupa mkono tutametata Watajiletaleta saiyo me nipo kwenye fukwe nina chekacheka. Chorus Kwenye beat me nabaki tu nachekacheka haha ninachekacheka Hao ma haters street wanabwekabweka haha wanabwekabweka kwenye beat me nabaki tu nachekacheka haha ninachekacheka Hao ma haters street wanabwekabweka haha wanabwekabweka Mauliizone kwenye flow taratibu hakuna daktari yeyote wa kunitibu Usinichikoze Sina majibu ya kikujibu ila ukija kiwaki waki bro nitakujibu Supanova

Wanabaki

Maulii · 2023